Nliweka 20k siku ya kwanza baada ya kushawishiwa sana na rafk angu kuwa siku hio ndo ligi za mambele zinaanza. Sikuwa hata najua kucheza, huyo jamaa alinieLekeza na nikaweka io 20k.
Baada ya masaa kadhaa gem zilichezwa na hakuna ata 1 iloenda kombo. Nikaona kitu cha 960k.
Nilitoa 900k nikanunua mbolea, ilobaki nikawa naibetia ikaliwa yote. Niliacha kubeti mazima