Makubaliano hayo yanajumuisha kuongezewa mshahara kwa Arteta kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu ya hivi karibuni, huku akiendelea kuwa sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal. ๐ค๐ผ
Arteta anatarajiwa kusaini mkataba huo hivi karibuni, ingawa kwa sasa tayari wamefikia makubaliano ya mdomo. Taarifa hiyo imeripotiwa na BBC na kuthibitishwa na vyanzo vilivyo karibu na kocha huyo.