Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (EPL) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki.
Timu mbalimbali zimeshakuwa na wasiwasi mkubwa na kuingiwa na kiwewe pale ratiba inapoonesha wanakaribia kucheza na kikosi hiki kinachoongozwa na mwalimu huyu machachari.