Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Lete picha mkuuNdivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana.
Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (epl) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki.
Timu mbalimbali zimeshakuwa na wasiwasi mkubwa na kuingiwa na kiwewe pale ratiba inapoonesha wanakaribia kucheza na kikosi hiki kinachoongozwa na mwalimu huyu machachari.
Mechi zinaendelea, anafuata Aston villa Jumatano halafu Man utd Jumapili.Mechi 4?
Sosha ndio umfanabishe na Arteta?? Liverpool hawana class yoyote msimu huu japo kocha wao yupo vizuri.Nikwambie tu liverpool ipo nafasi ya 8 arsenal nafasi ya kwanza lakini Guardiola anaiwazia liverpool kuliko arsenal wazungu wanasema
Class is permanent and form is temporary arsenal labda ukinambia kuwania UEFA champions position sawa ila kwenye kuchukua league bado sana wanahitaji muda hata sosha alianzaga hivi hivi mwisho wa siku hakuna alichoambulia.
Arsenal ni timu kubwa Ulaya na dunia kwa ujumla.Duuh mapema hivi arsenane mmeanza
Msimu huu mtatafutana.Amka hapo ulipo lala kuna siafu
Hakika, tunasonga one game at a time.Mdogo mdogo tutafika na kuishangaza dunia
Round ya kwanza tunataka kushinda game 17 na sare mbili.Huu Uzi utakuwa maarufu Sana mda si mrefu mtakapoanza kufungwa
Hilo linaenda kutokeaRound ya kwanza tunataka kushinda game 17 na sare mbili.
Umeongea point sana waache wajitekenyee afu wachekeeee wenyeweeeNikwambie tu liverpool ipo nafasi ya 8 arsenal nafasi ya kwanza lakini Guardiola anaiwazia liverpool kuliko arsenal wazungu wanasema
Class is permanent and form is temporary arsenal labda ukinambia kuwania UEFA champions position sawa ila kwenye kuchukua league bado sana wanahitaji muda hata sosha alianzaga hivi hivi mwisho wa siku hakuna alichoambulia.