Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

Sosha ndio umfanabishe na arteta?? Liverpool hawana class yoyote msimu huu japo kocha wao yupo vizuri.

Mimi naona anayeweza kumpa shughuli pevu arteta ni guardiola peke yake kwa sasa.
Liverpool hawana nn_?_?? AchA ushamba LiverpooL kinachomsumbua ni eneo La midfield bhas wana miss kiungo myumbuLiFu kama thiago sasa wewe kazana2 kukariri arsenaL akimaLiza top 4 mniite mbwa
 
Bado mapema sana, akikutana na timu kubwa ndo tutajua panapovuja
 
Sosha ndio umfanabishe na arteta?? Liverpool hawana class yoyote msimu huu japo kocha wao yupo vizuri.

Mimi naona anayeweza kumpa shughuli pevu arteta ni guardiola peke yake kwa sasa.
Ile sio NBC premier league hakuna mtu alitarajia kama man United atamfunga liverpool ila imetokea hvyo hata arsenal akiweza kuchukua hata point kutoka kwa top five team basi matumaini yatakuwepo ila huu wa sasa ni upepo tu.
 
Sawa
 
Umenikumbusha Sosha
 
Arsenal wanapendeza ila nasubiri waanze kukutana na Chelsea, Spurz, Man Utd, Wolves, Leeds, Westham.. zile timu korofi.

Baada ya hapo waje kucheza na Liverpool na Man City, hapo ndio nitapata picha yao ya msimu huu.
Kwa hiyo na wewe unasumbuliwa na Arsenal? Hebu kafanye shughuli nyingine mpaka jumapili ijayo utakuwa na majibu sahihi.
 
Arsenal huwa hawajifunzi. Wakimuona Liverpool kule chini, wanajiona champions. Ukiwa na mtoto wa kike unataka kumuoza, mpe mpenzi wa Arsenal, ni wavumilivu sana na wana matumaini.
Muda ni hakimu, tutarudi hapa mwezi May 2023.
 
Arsenal wanapendeza ila nasubiri waanze kukutana na Chelsea, Spurz, Man Utd, Wolves, Leeds, Westham.. zile timu korofi.

Baada ya hapo waje kucheza na Liverpool na Man City, hapo ndio nitapata picha yao ya msimu huu.
Ni kweli, kuanzia Jumapili ijayo wanaanza na man utd. Ninaamini msimu huu watafanikiwa kufunga timu kubwa pia.
 
Liverpool hawana nn_?_?? AchA ushamba LiverpooL kinachomsumbua ni eneo La midfield bhas wana miss kiungo myumbuLiFu kama thiago sasa wewe kazana2 kukariri arsenaL akimaLiza top 4 mniite mbwa
Liverpool wameshapoteza window ya mafanikio.. wanarudi walikotoka miaka kadhaa nyuma.
 
Ile sio NBC premier league hakuna mtu alitarajia kama man United atamfunga liverpool ila imetokea hvyo hata arsenal akiweza kuchukua hata point kutoka kwa top five team basi matumaini yatakuwepo ila huu wa sasa ni upepo tu.
Arsenal wameimarika japo ni kweli tunaendelea kusubiri matokeo yao kwenye mechi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…