Ujumbe umefikaWewe ulishindwa kuwaeleza police ujinga wanazofanya au kuwashauri juu ya hilo unalolisema hapa?.
Umetumia akili ndogo kutoa taarifa, kesho tumia kubwaBasi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.
Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.
Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.
Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.
Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.
Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?
- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Abiria sisi ndi tatizo,tunawasifia kwa mambio yao..juzi nimefuatilia Kipindi Maalumu ITV kuhusu usafiri wa mabasi kuna ujinga mwingi unafanywa na kampuni ya Sauli na hata huyo Alsaedy kwa route ya Mbeya.
Hao jamaa wapewe onyo na adhabu kali, otherwise wataua watu siku si nyingi
Mtoa mada, kuover take kwa basi la abiria sehemu usiyoruhusiwa kuna tofauti gani na ‘attempted mass murder’? Tuanzie hapo kwanza halafu ndio tuone kama hayo masaa mawili ni mengi au la..
Na dereva angepata ajali aue watu ungekuja na uzi wa kuwalaumu askari walikuwa wapi kuchukua hatuaBasi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.
Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.
Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.
Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.
Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.
Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?
- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Naona dishi haliko sawa!Hahaaa...... Sauli ameanza kuisoma namba baada ya kukatwa sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe huna maana kabisa!! Yaani askari polisi wanawasaidia nyinyi abiria msafiri salama halafu unaanza kuwalaumu tena hao wanaowasaidia?? Utakuwa huna akili timamu.Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili.
Tukio lilianzaje?
Basi lilikuwa likiondoka Morogoro mida ya saa 10 jioni limeongozana na Al Sayeed. Dereva wa Al Sayeed na Sauli wote walifanya makosa waka - overtake eneo hilo. Bahati nzuri wa Al Sayeed hakusimamishwa ila wa Sauli akanasa.
Kilichofuata Dereva wa Sauli akajieleza. Akaambiwa ageuze gari. Akageuza, yule askari wa kike akamchapa makofi.
Wananchi waliojaa pale wakazomea. Alikuwepo askari wa kiume akaruhusu gari. Dereva wa Sauli akawa analalamika baadae akaondoka.
Kufika Mikese basi likasimamishwa kwa masaa 2 kwa ajili ya kuchukua maelezo.
Swali:
- Kwenye basi kuna madereva wawili, kwanini wasimamishe basi muda huo au kuwatafutia abiria usafiri mbadala?
- Kwenye safari kuna watoto wadogo na wagonjwa. Kwanini akili ndogo tu zisitumike?
Hahaaa...... Sauli ameanza kuisoma namba baada ya kukatwa sio🤣🤣🤣🤣
Miaka kama mitatu nyuma niliwahi safiri na Al Saedy. Nilisafiri kawaida sana sema pale Kitonga alishuka kama umeme.juzi nimefuatilia Kipindi Maalumu ITV kuhusu usafiri wa mabasi kuna ujinga mwingi unafanywa na kampuni ya Sauli na hata huyo Alsaedy kwa route ya Mbeya.