Mikese na Askari polisi: Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili

Mikese na Askari polisi: Basi la Sauli limesimamishwa Mikese kwa karibu masaa mawili

Askari anawasaidia halafu mnamzomea(japo kofi kavuka mipaka) ila mkipata ajali mtarudi kuwalaumu kuwa hawafanyi kazi. Ama kweli kumfidhisha binadamu ni kazi sana.
Mkuu kofi ni kuvuka mpaka!

Hapo labda ungeongela ngumi ama vichwa.

Kofi ni kuusogeza mtero wa mtuhumiwa na ajihisi kuwa chini ya mamlaka.

Uzabuaji wa kofi una misingi yake na ikifuatwa hauna madhara yoyote zaidi ya kuondoa kidomodomo na kuisogeza akili ya mtuhumiwa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo usilolijua ni heri ukae kimya....
Kwa spidi ya 80 ya mabasi si spidi kubwa ukizingatia kuna check point za muda wa kufika kila mkoa...
Swala la muhim hapa ni hio overtake ambay si salama kwa watumiaji wa barabara na abira....

Swali langu ni kwanini double standard ihusike kwa dereva wa sauli kusimamishwa na al saedy kuendelea na safari???
 
Mkuu kofi ni kuvuka mpaka!

Hapo labda ungeongela ngumi ama vichwa.

Kofi ni kuusogeza mtero wa mtuhumiwa na ajihisi kuwa chini ya mamlaka.

Uzabuaji wa kofi una misingi yake na ikifuatwa hauna madhara yoyote zaidi ya kuondoa kidomodomo na kuisogeza akili ya mtuhumiwa karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
we muhuni
 
Polisi wanawalinda wananchi msipate ajali mkafa.. mlivyo wajinga mnazomea polisi

Askari wa usalama barabarani jukumu lake ni kulinda usalama wa raia na mali zao wakiwa barabarani..

Sasa dereva anacheza na roho za raia.. nyinyi raia mnamzomea askari
Hapo ndipo akili imeishia , likitokea lakutokea utasikia Askari wazembe wanakula rushwa
 
Hao jamaa huwa wanahatarisha Sana maisha ya watu, hasa hawa saul miez kadhaa iliyopita madereva wa hiyo kampuni baadhi walifungiwa lesen zao kwaajil ya mambo ya ligi barabaran wanamatumizi mabaya Sana ya barabara.

Kuhusu suala la kuzuiwa masaa mawili inategemea ni saa ngap alitakiwa afike hapo sasa kwa mfano labda Kama alitakiwa apite saa 12 point hiyo yeye anapita saa 10 ni lazma azuiwe na fain juu au mahakamani kabisa maana inatafsir mwendo kas
 
Kwa hali hii ya kummilikisha huyo Mbunge aliyekatwa mabasi ya mchimbaji wa madini wa Chunya, kisa tu majina yao yanafanana, kuna siku utakuja kutuambia mabasi ya Rungwe Express mmiliki wake ni mzee wa ubwabwa Mh. Hashimu Rungwe!
OK sawa mkuu
 
Sauli escape plan ya nabii titto
Sauli mjeshi ya mwinuka
Sauli iache iende ya mwanyilu boy
Sauli mbeya boy ya tege.

Wanaendesha vizuri sana ila anachafuliwa sana na newforce na al saedy maana amekamata soko na ni mgeni kwaio wakubwa hawapendi hilo.
 
Back
Top Bottom