Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu kofi ni kuvuka mpaka!Askari anawasaidia halafu mnamzomea(japo kofi kavuka mipaka) ila mkipata ajali mtarudi kuwalaumu kuwa hawafanyi kazi. Ama kweli kumfidhisha binadamu ni kazi sana.
we muhuniMkuu kofi ni kuvuka mpaka!
Hapo labda ungeongela ngumi ama vichwa.
Kofi ni kuusogeza mtero wa mtuhumiwa na ajihisi kuwa chini ya mamlaka.
Uzabuaji wa kofi una misingi yake na ikifuatwa hauna madhara yoyote zaidi ya kuondoa kidomodomo na kuisogeza akili ya mtuhumiwa karibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!we muhuni
Hapo ndipo akili imeishia , likitokea lakutokea utasikia Askari wazembe wanakula rushwaPolisi wanawalinda wananchi msipate ajali mkafa.. mlivyo wajinga mnazomea polisi
Askari wa usalama barabarani jukumu lake ni kulinda usalama wa raia na mali zao wakiwa barabarani..
Sasa dereva anacheza na roho za raia.. nyinyi raia mnamzomea askari
OK sawa mkuuKwa hali hii ya kummilikisha huyo Mbunge aliyekatwa mabasi ya mchimbaji wa madini wa Chunya, kisa tu majina yao yanafanana, kuna siku utakuja kutuambia mabasi ya Rungwe Express mmiliki wake ni mzee wa ubwabwa Mh. Hashimu Rungwe!
Hahaa.... Kivipi mkuu