Mikoa 10 inaongoza kwa watu wasiojua kusoma na kuandika

Mikoa 10 inaongoza kwa watu wasiojua kusoma na kuandika

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa wako upo nafasi ya ngapi??

1787767867973.jpg
 
miaka ya 80 watu waliokuwa wanajua kusoma na kuandika nchini mwetu walikuwa ~80% na tulizipita nchi kama uturuki, nimelijuaje hili? nilikutana na mturuki ktk mihangaiko baada ya kutambulishana alivyosikia jina la nchi yangu akashtuka na kuniambia hata wao uturuki walishangaa kuzidiwa na nchi ya kiafrika kwenye literacy, walililjadili sana huko kwao uturuki kwamba walikuwa nyuma yetu ...
 
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa wako upo nafasi ya ngapi??

View attachment 3657575
Mikoa mingi kati ya hiyo haijawahi kuwa na mbunge hata mmoja kutoka vyama pinzani tangu nchi ipate uhuru
 
Serikali inaona hakuna shida kwani hiyo ni idadi ndogo ya wasiojua kusoma na ni wazee. Inaona imejenga shule nyingi za kata kuna wahitimu wengi form four failure wako mitaani wanajua kusoma na kuandika inatosha hiyo
 
Back
Top Bottom