Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa wako upo nafasi ya ngapi??
View attachment 3657575
mkuu Hiiiiiiiii.......Wasukuma
Huwajui wamakonde na wamakua weweWasukuma wanahitaji ukombozi.
Mikoa mingi kati ya hiyo haijawahi kuwa na mbunge hata mmoja kutoka vyama pinzani tangu nchi ipate uhuruKwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa wako upo nafasi ya ngapi??
View attachment 3657575
CCMNani alaumiwe
niliona aibu kijana wa kisukuma mjasiriamali ana mke na watoto ila hajui kuandika na kusoma, cha ajabu anamiliki simu kali smart phone samsung ya kukunja, anasomewa mesejiWasukuma wanahitaji ukombozi.
Ndo maana ni muhimu kwa mwanaume kuwa na hela. Hayo mengine yanakuja automatically!niliona aibu kijana wa kisukuma mjasiriamali ana mke na watoto ila hajui kuandika na kusoma, cha ajabu anamiliki simu kali smart phone samsung ya kukunja, anasomewa meseji