Mikoa 10 inaongoza kwa watu wasiojua kusoma na kuandika

Tabora dharau zao kwa Julius kwakuwa alikuwa Mwalimu walimuona fala huku wakiwa watu wa kujisifu alijua wangemsumbua.

Julius alitumia kupenda sifa kwao kujenga mashule na kuhakikisha hawatasoma bali kujivunia shule kubwa na maalumu zipo kwao.

Niliokota kwa wazee wa Gerezani Kkoo.
 
Na huko ndipo ccm walipowekeza, kuhakikisha ujinga hauishi ili waendelee kutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…