Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Ukiondoa kilimanjaro na kagera, mikoa yote iliyobaki ni fursa tu1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Dodoma
5. Lindi
6. Mtwara
7. Mara
8. Kigoma
9. Singida
10. Simiyu
Nafikiri ni kutokana na uwepo wa mashirika yasiyo ya Serikali yanayotoa huduma kwa wakimbizi, ingawa mzunguko sio kivile.Kigoma hasa wilaya ya Kasulu hela ipo asee,,mzunguko wa hela pale ni mkubwa mno nilipapenda sana
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Dodoma
5. Lindi
6. Mtwara
7. Mara
8. Kigoma
9. Singida
10. Simiyu
Kuna tumbaku kule na wasukuma wapo wa kutosha#Tabora
Wewe ulienda kuzurura na sio kuishi,1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Dodoma
5. Lindi
6. Mtwara
7. Mara
8. Kigoma
9. Singida
10. Simiyu
Kuna zaidi ya tumbaku aiseeKuna tumbaku kule na wasukuma wapo wa kutosha
MBEYA,MOROGORO Ukishindwa kutoboa itakuwa hulijui jembe mim naish mbeya huku kyela huku ukijituma unatoboa labda uje kuogelea matema11. Mbeya
12. Iringa
13. Njombe
14. Kigoma
15. Rukwa
Hio Mbeya nilizuiwa kabisa nikaambiwa komaa huko huko Dar huku ukija hautoboi, sijui aliona nini yule mtu
Kwa hiyo wanaishije huko kama hawatoboi1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Dodoma
5. Lindiwatoboi
6. Mtwara
7. Mara
8. Kigoma
9. Singida
10. Simiyu