Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi.

Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa Nchi.(Figures in Millions Tanzania Shillings).

Orodha ya Top 10 za Mikoa yenye watu wenye Kipato Kikubwa (Per Capita GDP )mwa hesabu za mwaka 2023 Iko hivi ;

1. Dar =5.7
2. Iringa =4.7
3. Mbeya =4.4
4. Kilimanjaro =4.2
5. Ruvuma =3.7
6. Njombe =3.67
7. Arusha =3.66
8. Mwanza =3.5
9. Manyara =3.3
10. Tanga =3.2

My Take
1. Arusha inaanza kuwa zilipendwa.Manyara na Ruvuma are the Regions to Watch.

2. Credits : NBS,Tanzania in Figures,2023

View: https://www.instagram.com/p/DHI7fgJoeJt/?igsh=dmVkMTFyN3V4aHJy

Screenshot_20240803-151601.jpg

Angalizo
•Uchambuzi huu sio rasmi

Pia Soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
 
Attachments

Tafuta ela uwe nazo nyingi, familia yako iishi kibabe. Haya mambo ya sijui mikoa inayoongoza kwa kipato mara nchi inayoongoza kwa uchumi, ni takwimu tu. Huwa sioni tofauti na ubishi wa vijiweni sijui nani kati ya Messi, Ronaldo au Mayweather ana ela nyingi. Kama huna ela hata uishi New York wewe ni kapuku tu. Hizi takwimu huwa zinaleta ligi kwa watu wapumbavu tu.
 
Jikite kwenye hoja Mkuu,hela zinapatikana Mikoa ambayo kuna mzunguko wa hela
 
Jikite kwenye hoja Mkuu,hela zinapatikana Mikoa ambayo kuna mzunguko wa hela
Mkuu wilaya ya Ilala na Kinondoni zina uchumi mkubwa na mzunguko wa pesa kuliko mikoa zaidi mitano uliyotaja hapo juu. Hizi takwimu huwa zinachukuliwa kijinga sana. Eti Iringa na Mbeya zinazidi uchumi Mwanza na Arusha!??😅, na wewe ukakubali ukaja kupost!?😄
 
Huelewi unachoongea Wala mantiki ya hoja.

Hoja iliyopo hapo ni Per Capita Income ya Kila mkoa.

Chukua hiyo figure ya Dar zidisha na Watu waliopo ndio utapata kinachoongelewa.

Mwisho uwe unajielimisha kwanza kabla ya kukanusha.
 
cc Kitombile mdazi

Note: Chini ya awamu ya 6 Kipato Cha Mtanzania Linazidi kuimarika,Mwanza wamejikomboa kwenye kikombe ambacho Kagera wananywea 😂😂

Kazi iendelee
Mwanza toka zamani hatumo humo kwa kina nshomile sisi tunazid kupanda na sasa tunaenda nafasi ya sita au ya tano kwa kuwa na kipato kikubwa cha mtu mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom