ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Dola ya Marekani ndio medium of exchange? Harafu hii inahusianaje na mada?Sema nini, shilingi imeshuka sana thamani ila watanzania hawazingatii anguko la shilingi yetu.
Weka kwa dola ya marekani ndio utaona tunavyojitekenya na kucheka wenyewe.
Mwisho bei zinazotumika kuthaminisha uchumi ni za mwaka 2019 so kama ni exchange rate ambayo NBS wameitumia ni ya 2019 na sio Sasa hivi.Walishafikiria Hilo kabla Yako.