Mikoa 10 ya Tanzania ambayo Wakazi wake wana Maendeleo na Kipato kikubwa

Kama kipato chako ni kikubwa au kidogo, hizo takwimu hazisaidii chochote na hazibadirishi maisha ya mtu mmoja mmoja.
 
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi.

Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa Nchi.(Figures in Millions Tanzania Shillings).

Orodha ya Top 10 mwa hesabu za mwaka 2023 Iko hivi ;

1. Dar =5.7
2. Iringa =4.7
3. Mbeya =4.4
4. Kilimanjaro =4.2
5. Ruvuma =3.7
6. Njombe =3.67
7. Arusha =3.66
8. Mwanza =3.5
9. Manyara =3.3
10. Tanga =3.2

My Take
1. Arusha inaanza kuwa zilipendwa.Manyara na Ruvuma are the Regions to Watch.

2. Credits : NBS,Tanzania in Figures,2023
View attachment 3061234

Angalizo
•Uchambuzi huu sio rasmi

Pia Soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Sasa kama Uchambuzi sio rasmi unatuletea wa nini?

Tafuta Facts utuwekee hapa
 
Facts ndio hizo based kwenye per Capita income.

Naitwa facts Kwa sababu sina kibali Cha kutoa taarifa rasmi.
 
Kama mfanyabiashara ujue umefeli. Wenzako wapo vijijini huko wanauza nguo na vyombo kwa watu wenye per capita kubwa.
Masikini kipato chake unakipima je? Haweki pesa bank, Njia zake za kipato hazieleweki, na hata ujira aupatao hauko documented kama vile salary slip, na hawana kazi maalumu.

Kilimo chao ni cha jembe la mkono, mbegu za kienyeji, mazao mseto shambani, eneo la kilimo halijulikani vipimo vyake kama ni heka au nusu heka, na hata uvuvi wao wa kubahatisha kwa zana za kienyeji, mauzo ya mazao yao ya kienyeji hakuna vipimo, na hata wanunuzi hawatoi receipt.

Takwimu nyingi mnakadiria tu hazina uhalisia wowote na hii nchi yetu ya wadanganyika. takwimu nzuuri lakini source haijulikani, mi number tu.

Utajiri na umasikini Tanzania ni mafikirio yenu tu.
 
Sio vijiji vyote. Tembelea hiyo mikoa yenye per capita kubwa ukashangae mkulima ana mende 10 na ana v8.
 
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi.

Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa Nchi.(Figures in Millions Tanzania Shillings).

Orodha ya Top 10 mwa hesabu za mwaka 2023 Iko hivi ;

1. Dar =5.7
2. Iringa =4.7
3. Mbeya =4.4
4. Kilimanjaro =4.2
5. Ruvuma =3.7
6. Njombe =3.67
7. Arusha =3.66
8. Mwanza =3.5
9. Manyara =3.3
10. Tanga =3.2

My Take
1. Arusha inaanza kuwa zilipendwa.Manyara na Ruvuma are the Regions to Watch.

2. Credits : NBS,Tanzania in Figures,2023
View attachment 3061234

Angalizo
•Uchambuzi huu sio rasmi

Pia Soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Hadi Ruvuma???daah ,eti Ruvuma iipite mwanza!!
 
Masikini kipato chake unakipima je? Haweki pesa bank, Njia zake za kipato hazieleweki, na hata ujira aupatao hauko documented kama vile salary slip, na hawana kazi maalumu.

Kilimo chao ni cha jembe la mkono, mbegu za kienyeji, mazao mseto shambani, eneo la kilimo halijulikani vipimo vyake kama ni heka au nusu heka, na hata uvuvi wao wa kubahatisha kwa zana za kienyeji, mauzo ya mazao yao ya kienyeji hakuna vipimo, na hata wanunuzi hawatoi receipt.

Takwimu nyingi mnakadiria tu hazina uhalisia wowote na hii nchi yetu ya wadanganyika. takwimu nzuuri lakini source haijulikani, mi number tu.

Utajiri na umasikini Tanzania ni mafikirio yenu tu.
Ndio umaskini wenyewe huo sasa
 
Mikoa 10 ambayo Wananchi wake Wanaotajwa kuwa na Mapato makubwa na hivyo Wana Maendeleo kushinda maeneo mengine ya Nchi.

Takwimu hizi ni wastani wa Mapato ya mtu na yako Juu ya Wastani wa Nchi.(Figures in Millions Tanzania Shillings).

Orodha ya Top 10 mwa hesabu za mwaka 2023 Iko hivi ;

1. Dar =5.7
2. Iringa =4.7
3. Mbeya =4.4
4. Kilimanjaro =4.2
5. Ruvuma =3.7
6. Njombe =3.67
7. Arusha =3.66
8. Mwanza =3.5
9. Manyara =3.3
10. Tanga =3.2

My Take
1. Arusha inaanza kuwa zilipendwa.Manyara na Ruvuma are the Regions to Watch.

2. Credits : NBS,Tanzania in Figures,2023
View attachment 3061234

Angalizo
•Uchambuzi huu sio rasmi

Pia Soma Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi Tanzania :Kagera namba 2, Dodoma namba 5.Nini Kinaiponza Mikoa Hii Maarufu?
Kiliammanjaro ingekuwa ya Pili baada ya Dar sema tu "wapare wamechukua tabia za wasambaa, Mashamba hawalimi, wanauza samaki na korosho kwene mabasi huku wakitegemea TASAF"
 
Ndio sio ya pili Sasa na hakuna namna tena itakuja kuwa ya pili maana hakuna ardhi zaidi ya makaburi.
 
Dodoma Yako kama ililaaniwaga😀
Unajitoa ufahamu,mbona husemi kwamba ilipuuzwa miaka Mingi na Gvt?

Mwanza ilikuwa huko ila imetoka so hata Dom haifiki 2030 itakuwa ime graduate .

Mwisho Arusha umeiona ? 😆😆😆😆
 
No.6 Ruvuma
No.7 Arusha
Alafu ukumbuke sisi ni wale wamangati na wahadzabe wale bado wanaish porini ndio wanatuangushaga lakin bado tupo top 10

Sasa nyie dodoma pamoja na bunge, mawazir had ikulu mnashika mkia vngekua havipo je😀
 
Back
Top Bottom