LGE2024 Mikoa 5 yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024 asema waziri Mohamed Mchengerwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
DDa
20 October 2024

Mikoa yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024
Mikoa mitano ya Tangayika iliyoongoza nchini Tanzania ni kama ifuatavyo :
  1. Tanga asilimia 101.13 ya lengo ,
  2. Pwani 98.74% ya lengo ,
  3. Mwanza 94.09%, ya lengo
  4. Dar es Salaam 86.66% ya lengo
  5. na Dodoma 80.63% ya lengo
Mikoa hiyo hapo juu ndiyo yaongoza asema ndugu Mohamed Mchengerwa ambaye ni waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Hakutakuwa na siku ya nyongeza ikifika saa 12 jioni itakuwa mwisho wa uandikishwaji, na hakuna siku za nyongeza kuandikisha wapiga kura katika daftari ya wapiga kura wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji .

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametoa tathimini ya uandikishaji katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa huku akitaja mikoa mitano vinara wa kuandikisha.

Mchengerwa ametoa tathimini hiyo leo Oktoba 20, 2024 akiwa katika Tarafa ya Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa amefunga zoezi la kujiandikisha kupiga kura na kutoa taarifa ya siku Tisa ya waliojitokeza kujiandikisha nchini ambapo Watanzania zaidi ya milioni 26 wamejiandikisha sawa na asilimia 81.15 ya Watanzania wamejiandikisha.

Mheshimiwa Mchengerwa amejiandikisha katika kituo cha uandikishaji cha Umwe Mchikichini kilichopo Jimboni kwake Ikwiriri Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani ambapo alitumia nafasi hiyo kuzungumza na wananchi na waandishi wa habari jimboni kwake mara baada ya kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na kumesema kuwa zoezi hilo litafungwa ifikapo saa12 jioni leo.

Mhe.Mchengerwa amesema kuwa taarifa ya jumla itatolewa ifikapo saa sita usiku leo muda hautaongezwa.

"Amewapongeza wananchi kwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mpigakura kote nchini ambapo waliojiandikisha kwa mujibu wa taarifa ya awali ni asilimia hizo 81. 15

"Mtakumbuka kuwa kwa muda wa siku 9 sasa toka tarehe 11 Oktoba, 2024 Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamekuwa katika zoezi la kuandikisha Watanzania watakaoshiriki zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa itakapofika tarehe 27 Novemba, 2024. Uandikishaji huu unafanyika kwa muda wa siku 10 hadi tarehe 20 Oktoba, 2024" alisema Mchengerwa.

Alisema uandikishaji na maandalizi ya orodha ya wapiga kura wa Uchaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mita ni takwa mojawapo la Kanuni za Uchaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa za mwaka 2024.

"Kanuni hizo zinaelekeza kuwa kutakuwa na orodha ya wapiga kura ambayo itatumika katika uchaguzi wa kuwachagua mwenyekiti wa Kijiji, mwenyekiti wa mtaa, mwenyekiti wa kitongoji na wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa" alisema.

"Nimeona nikutane nanyi ili kuwafahamisha Watanzania kuhusu mwenendo wa uandikishaji huo hadi kufikia siku ya 9 tarehe 19 Oktoba, 2024 na kutoa wito kwa Watanzania ambao hawajajitokeza kujiandikisha watumie siku ya leo ambayo pia ni siku ya mapumziko" alisema.

"Jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura sawa na asilimia 81.15 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579 kwa siku zote 10 ambapo wanaume ni 13,033,988 sawa na asilimia 48.69 ya watu wote waliojiandikisha kwa tarehe 11-19 Oktoba, 2024 na wanawake ni 13,736,007 sawa na asilimia 51.31 ya watu wote waliojiandikisha"

"Kwa ujumla, mwenendo huu ni mzuri sana, na kama utaendelea hivi kwa siku ya leo, uwezekano wa kufikia malengo ya uandikishaji ni mkubwa. Hii ni kwa kuwa kuanzia siku ya 5 hadi ya 9 kumekuwa na kuongezeka kwa idadi ya Watanzania waliojitokeza kujiandikisha

Siku ya 5 tarehe 16 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,460,664 sawa na asilimia 7.46 ya lengo la siku" alisema.

"Siku ya 6 tarehe 16 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,472,605 sawa na asilimia 7.50 ya lengo la siku; siku ya 7 tarehe 17 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,971,219 sawa na asilimia 9.01 ya lengo la siku; Siku ya 8 tarehe 18 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 3,409,211 sawa na asilimia 10.33 ya lengo la siku; siku ya 9 tarehe 19 Oktoba 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 3,813,999 sawa na asilimia 115.6 ya lengo la siku

Soma Pia:
Taarifa ya nchi nzima kuhusu mikoa yote iliyotekeleza zoezi la uandikishwaji katika daftari la mpiga kura maalum kwa ajili ya Uchaguzi wa November 2024 itatolewa leo saa Sita Usiku wa manane tarehe 20 October 2024
Data za kupika, Na matokeo ya huo uchaguzi nayo yatapikwa
 
Prophets of doom walijaribu kila namna kuhujumu uandikishaji wa wananchi lakini wameangukia pua.Sasa tungoje visingizio wakishindwa kwa aibu siku ya uchaguzi wa Serikali za mitaa.
 
Mhe.Mchengerwa amesema kuwa taarifa ya jumla itatolewa ifikapo saa sita usiku leo muda hautaongezwa.

CHADEMA JIMBO LA KIBAMBA DSM WATOA TAKWIMU. ZIMETOLEWA MAJIRA YA SAA NNE USIKU TAREHE 20 OCTOBER 2024

Pongezi CHADEMA Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania kuwabana chama kongwe dola kwa kutoa takwimu za wapiga kura waliojiandikisha kwa ajili ya uchaguzi serikali za mitaa 20q4 :
JIMBO LA KIBAMBA DAR ES SALAAM IDADI WAPUGA KURA WALIOJIANDIKISHA KATIKA VITUO :

Kinganzi A 1886
Kiganzi B 3,400
Kwembe 2964
Lunguruni 2773
Mlonganzila 1772
Mpakani 2236
Msakuzi 1,834
Ngeteni
Kibamba
Gogoni 2,310
Hondigo 2637
Kinamba 3238
Kibwegere
Kiluvia 2105
Salanga Vituo 32 :
Kimara B 2,645
Kingongo 2,658
Matangini 4,221
Michungwani 2261
Mji Mpya 3843
Salanga 3960
Stop Over 2464
Ukombozi 1,337
Upendo 2437

Msigani 3947
Yusufu 2411
Malamba mawili 4379
Msingwa 3068
Temboni 1,751
Mbezi
Luis 3558
Makabe 3365
Mbezi Luis Centre 3788
Mpigi Magohe 3077
Msakuzi 3493
Msakuzi Kusini 2087
Mshikamano 3795
Msumi 4312

Tegeta 4430
Kunguru 2705
Muungano 2489
Matosa 3023
Kulangwa 2124

Takwimu za mitaa 40 kati ya 44, CHADEMA tumeamua kutangaza takwimu hizi ili zisiwe tofauti na takwimu za TAMISEMI.

Idadi hii tumepata kutoka kwa wasimamizi wasaidizi tulizopewa kupitia mawakala wetu. Na kesho tunategemea takwimu zitakazobandikwa katika kuta za vituo zitafanana na takwimu tulizoziona katika madaftari ya wapiga kura jimbo la Kibamba Dar es Salaam

View: https://m.youtube.com/watch?v=PYvgsf30q-Y
 
Sakata uandikishaji kuelekea uchaguzi wa TAMISEMI 2024 la mkoa Katavi

View: https://m.youtube.com/watch?v=xIvYPt5Heww

Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Katavi Rhoda Konchelllah na timu yake ya CHADEMA wamegundua madudu kituo cha kuandikisha wapiga kura SongambeIe Mlele Katavi ...kama ilivyo katika video hapo juu ...
 
20 October 2024

Mikoa yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024
Mikoa mitano ya Tanganyika iliyoongoza nchini Tanzania ni kama ifuatavyo :
  1. Tanga asilimia 101.13 ya lengo ,
  2. Pwani 98.74% ya lengo ,
  3. Mwanza 94.09%, ya lengo
  4. Dar es Salaam 86.66% ya lengo
  5. na Dodoma 80.63% ya lengo
Mikoa hiyo hapo juu ndiyo yaongoza asema ndugu Mohamed Mchengerwa ambaye ni waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

Hakutakuwa na siku ya nyongeza ikifika saa 12 jioni itakuwa mwisho wa uandikishwaji, na hakuna siku za nyongeza kuandikisha wapiga kura katika daftari ya wapiga kura wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji .

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ametoa tathimini ya uandikishaji katika daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa huku akitaja mikoa mitano vinara wa kuandikisha.

Mchengerwa ametoa tathimini hiyo leo Oktoba 20, 2024 akiwa katika Tarafa ya Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa amefunga zoezi la kujiandikisha kupiga kura na kutoa taarifa ya siku Tisa ya waliojitokeza kujiandikisha nchini ambapo Watanzania zaidi ya milioni 26 wamejiandikisha sawa na asilimia 81.15 ya Watanzania wamejiandikisha.

Mheshimiwa Mchengerwa amejiandikisha katika kituo cha uandikishaji cha Umwe Mchikichini kilichopo Jimboni kwake Ikwiriri Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani ambapo alitumia nafasi hiyo kuzungumza na wananchi na waandishi wa habari jimboni kwake mara baada ya kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura na kumesema kuwa zoezi hilo litafungwa ifikapo saa12 jioni leo.

Mhe.Mchengerwa amesema kuwa taarifa ya jumla itatolewa ifikapo saa sita usiku leo muda hautaongezwa.

"Amewapongeza wananchi kwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mpigakura kote nchini ambapo waliojiandikisha kwa mujibu wa taarifa ya awali ni asilimia hizo 81. 15

"Mtakumbuka kuwa kwa muda wa siku 9 sasa toka tarehe 11 Oktoba, 2024 Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamekuwa katika zoezi la kuandikisha Watanzania watakaoshiriki zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa itakapofika tarehe 27 Novemba, 2024. Uandikishaji huu unafanyika kwa muda wa siku 10 hadi tarehe 20 Oktoba, 2024" alisema Mchengerwa.

Alisema uandikishaji na maandalizi ya orodha ya wapiga kura wa Uchaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mita ni takwa mojawapo la Kanuni za Uchaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa za mwaka 2024.

"Kanuni hizo zinaelekeza kuwa kutakuwa na orodha ya wapiga kura ambayo itatumika katika uchaguzi wa kuwachagua mwenyekiti wa Kijiji, mwenyekiti wa mtaa, mwenyekiti wa kitongoji na wajumbe wa serikali za vijiji na kamati za mitaa" alisema.

"Nimeona nikutane nanyi ili kuwafahamisha Watanzania kuhusu mwenendo wa uandikishaji huo hadi kufikia siku ya 9 tarehe 19 Oktoba, 2024 na kutoa wito kwa Watanzania ambao hawajajitokeza kujiandikisha watumie siku ya leo ambayo pia ni siku ya mapumziko" alisema.

"Jumla ya wapiga kura 26,769,995 wamejiandikisha kupiga kura sawa na asilimia 81.15 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579 kwa siku zote 10 ambapo wanaume ni 13,033,988 sawa na asilimia 48.69 ya watu wote waliojiandikisha kwa tarehe 11-19 Oktoba, 2024 na wanawake ni 13,736,007 sawa na asilimia 51.31 ya watu wote waliojiandikisha"

"Kwa ujumla, mwenendo huu ni mzuri sana, na kama utaendelea hivi kwa siku ya leo, uwezekano wa kufikia malengo ya uandikishaji ni mkubwa. Hii ni kwa kuwa kuanzia siku ya 5 hadi ya 9 kumekuwa na kuongezeka kwa idadi ya Watanzania waliojitokeza kujiandikisha

Siku ya 5 tarehe 16 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,460,664 sawa na asilimia 7.46 ya lengo la siku" alisema.

"Siku ya 6 tarehe 16 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,472,605 sawa na asilimia 7.50 ya lengo la siku; siku ya 7 tarehe 17 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 2,971,219 sawa na asilimia 9.01 ya lengo la siku; Siku ya 8 tarehe 18 Oktoba, 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 3,409,211 sawa na asilimia 10.33 ya lengo la siku; siku ya 9 tarehe 19 Oktoba 2024 waliandikishwa jumla ya wapiga kura 3,813,999 sawa na asilimia 115.6 ya lengo la siku

Soma Pia:
Taarifa ya nchi nzima kuhusu mikoa yote iliyotekeleza zoezi la uandikishwaji katika daftari la mpiga kura maalum kwa ajili ya Uchaguzi wa November 2024 itatolewa leo saa Sita Usiku wa manane tarehe 20 October 2024

mtaji wa ccm ni wasukuma pwani,tanga,dodoma

Mnajua kupika data sana
Kwani mnanini cha ziada Zaid ya mawe na ngombe?
Chadema mmeumia sana...kuona watu wamejiandikisha kwa wingi tofauti na mlivyodhania.
 
Watoto wangapi? Fake tu. Ukieka lengo la sifuri kila namba itakuwa nzuri
 
Sensa ya 2022 na idadi waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mpiga kura:

Madudu ya takwimu za TAMISEMI VS takwimu za sensa ya taifa 2022.

CHADEMA imefanya uchunguzi wa Sensa ya Taifa ya mwaka 2022 iliyosimamiwa na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Spika Mstaafu, spika mstaafu Anne Makinda

View: https://m.youtube.com/watch?v=xre7bUUjTKw
 
Huu ni utapeli wa kijinga sn, Sensa ilifanyika kidigitali matokeo ya awali yalitoka baada ya siku 21, lakini uandikishaji ambao umefanyika manual matokeo yalitoka siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom