Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Kwa observation zangu ni:

1. Kilimanjaro
2. Mara
3. Geita
4. Iringa
5. Songwe
6. Pwani
7. Morogoro

NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
 

Attachments

Kwa observation zangu ni:

1. Kilimanjaro
2. Mara
3. Geita
4. Iringa
5. Songwe
6. Pwani
7. Morogoro

NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
Hii attachment mbona haioneshi mchanganuo wa Mikoa?
Weka takwimu za Mikoa kama hivi 👇
 
Kwa observation zangu ni:

1. Kilimanjaro
2. Mara
3. Geita
4. Iringa
5. Songwe
6. Pwani
7. Morogoro

NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
Sijui Moshi inasubiri nini kuwa jiji?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…