Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1. Dar-es-Salaam (anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2. Arusha(75-80%)
3. Singida(65-75%)
4. Kilimanjaro(70-80%)
5. Mwanza(55-65%)
6. Mbeya(75-80)
7. Mara(65-75%)
Mikoa ambayo anaweza kupata kura chache ni hii:
1. Dodoma(40-50%)
2. Geita/Chato(40-45)
Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.
All in all, Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.
Note: Membe akiimuunga mkono Lissu ,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.
Huu ni utabiri wangu, tusubiri wakati ufike.
Vigezo:
1. Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa Watanzania wengi hasa vijana.
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.