Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwanini SINGINDA asoipate walau 90%???
Au kwao hawana mwamko wa kutaka mabadiriko???
Huu ni mtazamo wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini SINGINDA asoipate walau 90%???
Au kwao hawana mwamko wa kutaka mabadiriko???
Hawaitaki ccm na watu waoKwa vigezo gani?
Endeleeni kumeza panadolUngesema ataongoza
Mbeya mjini
Mwanza mjini
Arusha mjini
Moshi mjini. Sio mkoa mzima
Watu wanasema kuwa aliwazalo mjinga ndiyo umtokea, Polepole sasa ajiandae kuyapokea aliyo yaanzishaHuyu hapa polepole akithibitisha
Sawa mkuuEndeleeni kumeza panadol
Kama wewe unavyo otaZinduka kutoka ndotoni mkuu hizo zote ni ndoto za mchana kweupe [emoji16]
Matokeo yakitangazwa mje piaUnaijua mikoa ya Mbeya, Mara na Manyara mkuu?
Nani kakudanganyaWachagga hawawezi kumchagua Lissu!
Huo ndiyo ukweli maana watu wamesha amua kuiondoa kabisa ccm maana hakuna ilichokifanyaSawa mkuu
LISSU ataongoza kura mikoa yoooote hapa TZ na ataongoza kwa 90%
Ni yeyeee
Ruvuma futa rafiki yangu,Hawa jamaa Bado Sana Huko Ni CCM tu.
Sawa mkuu
LISSU ataongoza kura mikoa yoooote hapa TZ na ataongoza kwa 90%
Ni yeyeee
Cdm tuna uzoefu wa hiyo kitu wala siyo wageni na safari hii lazima mjifungie majumbani mwenu kwa machunguMatokeo yakitangazwa mje pia
Kweli kabisa mkuu maana huko vijijini wazee na wanawake woote wanasema ni yeyeeHuo ndiyo ukweli maana watu wamesha amua kuiondoa kabisa ccm maana hakuna ilichokifanya
Bwashee nipo Kiboriloni, habari ya mjini huku kilimanjaro ni Lissu! Watanzania wanataka wajaribu ladha tofauti japo walau kwa miaka hata miwili tu bwashee, wanasema ccm wamewachoka, usiwasemee wachaga bwasheeWachagga hawawezi kumchagua Lissu!
Wengi mko nyuma sanaWewe acha uzuzu.. unataka kusema sisi watu wa dodoma ndio vilaza kiasi cha kuchagua meko?
Mkuu hawa watu wa ni yeyee hawataki kabisa kuambiwa ukweli ngoja tuendelee kuwafariji ikiwa ukweli moyoni wanaujuaHaya ni maoni tu, anaweza asiongoze popote kulipotajwa kwenye maoni haya, ila mgombea wa ccm hata ashinde vipi hawezi kufika 60%, tofauti kabisa na matakwa ya ccm kuwa watashinda kwa 90%.
Mnyaturu na mgogo bado wengi wao wamelalaKwanini SINGINDA asoipate walau 90%???
Au kwao hawana mwamko wa kutaka mabadiriko???
Hasa awamu hiiWachaga hawaipendi Sana ccm.
Wachagga hawawezi kumchagua Lissu!