Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Mkuu hawa watu wa ni yeyee hawataki kabisa kuambiwa ukweli ngoja tuendelee kuwafariji ikiwa ukweli moyoni wanaujua

Lissu ni yeyeee atashindaaa kwa aslimia 100

Hakuna mahali popote mtu anaweza kushinda kwa asilimia 100 acha kupanick tafadhali. Ukiona mahali kiongozi anashinda kwa 100%, fuatilia vizuri lazima ukute kuna hila. Na kama kashinda bila hila, ujue anaoongoza maiti hai.
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.

Mkuu hiyo namba 5 unamaanisha Mwanza hii hii ya Kanda ya ziwa au?
 
Hakuna mahali popote mtu anaweza kushinda kwa asilimia 100 acha kupanick tafadhali. Ukiona mahali kiongozi anashinda kwa 100%, fuatilia vizuri lazima ukute kuna hila. Na kama kashinda bila hila, ujue anaoongoza maiti hai.
Lisu atashinda tu si atalindiwa kura na mabeberu

Tz nzima ni lissu tu
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Yaah hasa kwa kuwa mwilini mwake kunazunguka damu ya wakenya waliomuokoa maisha yake.
 
Huyu hapa polepole akithibitisha
Na hivi sasa polisi tunasema sasa basi!
Tumeshawachoka watawala! Tumeshachoka kuweka sheria pembeni na kutekeleza maelekezo!
Maagizo sasa basi!
Tunataka turudishe mahusiano mazuri na raia tunaowatumikia.
Tunataka raia akituona afurahi, aone fahari ya kumuona afisa usalama.

Tutasimamia "fair play ground" kwa vyama vyote! Muamuzi ni sanduku la kura, hakuna tena kuwabeba chama
 
B
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Binafsi naheshimu utabiri au ubashiri wako. Sina pingamizi na mawazo ya mtu na nayaheshimu sana, ILA binafsi pia naamini kuwa suala la Lissu kupata kura huko au kuzikosa inategemea mambo (factors na facts) nyingi sana ikiwa ni pamoja na uzito wa political base yake na ya CHADEMA kwenye hiyo mikoa, nguvu ya vyama vingine kwenye hayo maeneo, mbinu zitakazo tumika wakati wa zoezi zima la uchaguzi (hasa kuanzia kwenye uteuzi wa NEC, kampeni, kupiga kura, kuhesabu kura, kujumlisha kura kwenye ngazi ya majimbo na kwenye ngazi ya Taifa), huo ndio mchakato muhimu wa kumpata MSHINDI kwemye uchaguzi alipo Lissu, yaani kwenye ngazi ya Urais. Vinginevyo, tusubiri mambo yaanze kuanzia hapo 26/27 AGOSTI, 2020 na kuendelea hadi 26 OKTOBA, 2020. Subira huvuta heri au siyo jameni?!
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Unatumia kichwa kufikiri au? Hapa Mwanza Lisu atapata 10% tu. Nayo ni ya wajinga wajinga
 
MUNGU ambariki Sana Mheshimiwa TUNDU LISSU Katika Jina la Yesu !!!!!!!!
 
Ha ha ha ha humi ndani jamnvini kuna watu wana ndoto za alinacha kweli.
 
Tutazirudia hizi nyuzi kuona ukweli wake mwezi Novemba.
Maana Za 2015 tulivyokua tunazirudia Watu walikua wakali na malalamiko kedekede.
 
Magu mda wake ushaisha, binafsi siwezi kupigia kura magu hata nikiionyeshewa bostala usoni kama Nape siwezi kumpa kura huyu mzee.
Kumpa kura Magu ni kutaka watoto vizazi vya mbele vije kuteseka bila hatia kwa ujinga wangu
 
Hahaha you guys you are not serious. Eti Lissu awe Rais wa JMT? labda mfumo wa nchi hii uwe umeenda wote mbinguni!! He will never ever be President of this country! May be after 50 years to come sisi wote wananchi wazalendo tuwe tumekufa hatuwezi mpa nchi mtu ovyo ovyo kama Lissu hata Chadema in general.
 
Back
Top Bottom