Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,Magufuri kafanya mengi ambayo hayakufanywa hapo kabla.
Ni yeye anayeifahamu nchi hii kila kona tabu, shida na hali halisi za wananchi.
Ni yeye aliyetengeneza mtandao wa ufuatialiji na uwajibikaji kwa wateule wake.
Matatizo mengi ya Watanzania ni miundombinu iliyokuwa mibovu ambayo sasa inafanziwa kazi siku hadi siku.
Tatizo lilijitokeza ni kubinya mianya kwa sekta binafsi kujiendesha kwa mazoea na hivyo kuongeza ugumu wa maisha.
Hata hivyo yote hayo ni kwa muda tu ili sekta hizo nazo zijipange kuendana na wakati/mfumo uliopo.
Magufuri alianza vizuri na atamaliza vizuri zaidi ingawa kwa maumivu kwa wote tuliozoea vya kunyonga/bure/upigaji.
 
VITU vimepatikana,Sasa watanzania wengi wanatafuta UTU.
 
Sasa kwamfano vijana ambao wanagraduate na kukosa ajira walizoea kupiga nini mkuu?
 
Ndio maana nikasema sekta/ikihuishwa (PPP) binafsi ikingaliwa kwa jicho la tatu ndio mkombozi wa graduates.
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Kijani hujiandikisha na hupiga kura,kura za mtandao ni tofauti kabisa na uhalisia.
 
Hapo Singida vipi ina maana Lissu hakubaliki kwao? Na je Lissu akimuunga mkono Membe itakuwaje?
 
Mbona hujautaja Mkoa wa Kigoma wa waasisi wa mageuzi?.
 
Wapiga kura wengi ni vijana, nature ya vijana ni changes...

Lissu at his age ni kijana, msomi mbobezi wa sheria...

Mtaji alionano Lissu kwa vijana ni misimano yake isiyoyumba yumba kama wanasiasa wengi vijana na hata wazee.

Kati ya wagombea urais wote, Lissu anawazidi wenzake kwa kukubalika.

Upepo wa siasa a Tanzania unabadilika ghafla saana ambapo wengi hatukutegemea.
 
Kanda ya kati ndio inaamka,ila Lissu kutokea Singida itasaidia kuwaamsha.
Ni kweli Singida ni kambi ya ccm but the case is different when it comes to Lissu, jamaa anakubalika sana nyumbani.
 
Wapiga kura wengi ni vijana, nature ya vijana ni changes...

Lissu at his age ni kijana, msomi mbobezi wa sheria...

Mtaji alionano Lissu kwa vijana ni misimano yake isiyoyumba yumba kama wanasiasa wengi vijana na hata wazee.

Kati ya wagombea urais wote, Lissu anawazidi wenzake kwa kukubalika.

Upepo wa siasa a Tanzania unabadilika ghafla saana ambapo wengi hatukutegemea.
"Soko la kura' ni one of the most unpredictable markets, it changes just over night.
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Lissu hawezi kufika hata robo ya kura alizopataga Dr slaa
 
Back
Top Bottom