Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo panapo majaliwa, Lissu ataongoza kwa kupata kura nyingi

Hahaha you guys you are not serious. Eti Lissu awe Rais wa JMT? labda mfumo wa nchi hii uwe umeenda wote mbinguni!! He will never ever be President of this country! May be after 50 years to come sisi wote wananchi wazalendo tuwe tumekufa hatuwezi mpa nchi mtu ovyo ovyo kama Lissu hata Chadema in general.
Raisi wa nchi hii October mwaka huu atawekwa na Nguvu ya umma na sio huo uchwara wenu Eti mfumo. Kama mlikuwa hamuijui nguvu ya umma mwaka huu ndo mtaijua
 
Hahaha you guys you are not serious. Eti Lissu awe Rais wa JMT? labda mfumo wa nchi hii uwe umeenda wote mbinguni!! He will never ever be President of this country! May be after 50 years to come sisi wote wananchi wazalendo tuwe tumekufa hatuwezi mpa nchi mtu ovyo ovyo kama Lissu hata Chadema in general.
Endelea kujitekenya et "he will never ever be president of this country.."..!!
Endelea kuota
 
Pol
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Pole inaonekana ni uchaguzi wako wa kwanza ukiwa mtu mzima.
Nakuhakikishia hivi hiyo mikoa yote Magufuli atashinda vizuri tu. Hiyo mikoa.
 
Endelea kujitekenya et "he will never ever be president of this country.."..!!
Endelea kuota
Wewe ndo unaota Ukipata nafasi ya kuuliza Lisu, Mbowe,Zitto na wengine watakuambia hata ubunge hatuwezi fikisha majimno 30.
 
Wachagga hawawezi kumchagua Lissu!
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba;
Chama au mtu aliyefilisika kisiasa huwa anafanya siasa za ukabila ama Udini.
Wewe ni mmoja wapo wa watu hao pamoja na ccm yako
 
Kule lindi tangu alivowambia atawapiga mpaka shangazi zao hawana hamu nae wanamsubiri tu wamalize kazi.
 
Wafanyakazi hilo siyo swali huko hapati hata atembee uchii.
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.

Hivi ni nani aliyewaloga? Toka 1995 nini kimebadilika ktk siasa za nchi hii hadi mjipeni matumaini hayo? Ccm ni ile ile, katiba ni ile ile isipokuwa sheria zinazomlinda raisi na ccm ndiyo zimeongezeka. Poleni sana kwa kupoteza muda wenu.
 
Kwa mtazamo wangu, Lissu ana nafasi ya kupata kura nyingi zaidi katika mikoa hii ifuatayo:
1.Dar-es-Salaam(anaweza pata asilimia 70 mpaka 80 ya kura zote za mkoa huu)
2.Arusha(75-80%)
3.Singida(65-75%)
4.Kilimanjaro(70-80%)
5.Mwanza(55-65%)
6.Mbeya(75-80)
7.Mara(65-75%)

Mkoa ambao anaweza kupata kura chache ni huu:
1.Dodoma(40-50%)

Katika mikoa iliyobaki, watakuwa wanapisha ila sio kwa gap kubwa kama katika hiyo mikoa niliyoitaja.

All in all,Lissu ana nafasi kubwa ya kiubuka mshindi katika sanduku la kura kwa kupata ushindi wa asilimia 65 mpaka 75.

Note:Membe akiimuunga mkono Lissu,basi hata katika mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara-hasa Lindi-Lissu atakuwa na advantage ya kupata kura nyingi zaidi.

Huu ni utabiri wangu,tusubiri wakati ufike.

Vigezo:
1.Mwamko wa watu wa kutaka mabadiliko katika maeneo husika.
2. Kukubalika binafsi kwa Lissu miongoni mwa watanzania wengi hasa vijana
3.Serikali ya awamu ya tano kuwapa kisogo wananchi na kukumbatia maendeleo ya vitu.
Kuna mikoa mingi sana Lisu atapa kura nyingi sana tulia
 
Na hivi sasa polisi tunasema sasa basi!
Tumeshawachoka watawala! Tumeshachoka kuweka sheria pembeni na kutekeleza maelekezo!
Maagizo sasa basi!
Tunataka turudishe mahusiano mazuri na raia tunaowatumikia.
Tunataka raia akituona afurahi, aone fahari ya kumuona afisa usalama.

Tutasimamia "fair play ground" kwa vyama vyote! Muamuzi ni sanduku la kura, hakuna tena kuwabeba chama
Hivi yale maduka mliyokuwa mnakopeshwa mabati , nondo na cement , yale ambayo askari wengi mliyatumia kujenga kule kitunda kwanini yaliondolewa ?
 
Back
Top Bottom