Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

mumagoma

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
186
Reaction score
95
Mbeya
Majimbo ya mbarali, Mbeya mjini, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela

Kigoma
Majimbo karibia yote ni ACT Wazalendo na CHADEMA

Dar es Salaam
Majimbo yote kuna upinzani

Zanzibar
Mikoa yote ni ACT

Kagera
Majimbo yote CHADEMA ina nguvu hasa Bukoba vijijini, Bukoba mjini na Kyerwa

Mara
Majimbo yote kuna upinzani hasa bunda, Rorya, Tarime yote mawili, Musoma mjini

Kilimanjaro
Majimbo mengi

Arusha
Majimbo ya Arusha Mjini

Mtwara na Lindi
CUF, ACT na CHADEMA kuna majimbo watayabeba mengi

Singida
CHADEMA inaweza beba majimbo matatu na kuendelea
 
Upinzani unabeba majimbo ya mikoa yote, chamsingi ni kuhakikisha tunathibiti wizi na udanganyifu wa aina yoyote!

Tusiruhusu watu wapenyeze zile kura za wizi au kuchakachua matokeo, Tathminini inaonyesha kama si kuengua wagombea katika majimbo mengine upinzani ulikua umekifuta kabisa chama cha mbogamboga!
 
Mabadiliko ni muhimu,Tanzania yote ifanye mabadiliko maana ndiyo wakati wake,ni wakati wa kurejesha furaha na matumaini kwa nchi yote na kujenga taifa lenye furaha na maedeleo ya watu na vitu
 
Mnaona kabisa kuwa ana roho mbaya sana kwa binadamu
 
ACHA DHIHAKA, NI TANZANIA YOTE, KWANI KUNA MKOA AMBAO HAUKUUMIZWA NA JIWE?
1. Walimu wanafunzi wa UDOM waliofukuzwa

2. Wafanyabiashara
3. Wanafunzi
4. Vyeti fake

5. Wamachinga .
6. Wafanyakazi
etc etc
[emoji1787]....kweli ana dhihaka
 
Majimbo yote yanarudi Ccm

Tulichagua Chadema wakaishia kututesa na kutunyanyasa
 
Ikatokea sivyo ole wako uandamane tutakushughulikia
 
Kigezo ni waliofika kwenye mikutano hata mimi nilikuwa ninafika kwenye mikutano yote kama nami unanisemea basi umekula wa chuya.

Kura yangu ni siri huwezi kutabiri kwa kuongozwa na mahaba yako kwa chama chako
 
Back
Top Bottom