Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

Uchaguzi 2020 Mikoa ambayo upinzani inaweza kupata ushindi

Kilimanjaro
Majimbo mengi
Nina shaka kidogo safari hii kwenye mkoa huu. Inaonyesha kama CCM wameshajiimarisha kwenye mkoa huu kwa namna ya ajabu; na kwa kutumia instincts zangu, ninatabiri kuwa Waziri wa Fedha ajaye, atatoka kwenye jimbo mojawapo la mkoa huu; believe me!
 
Hakuna mahali chama cha mfukoni cha mwenyekiti mbowe kitashinda. Watanzania sio wajinga, safari hii watakula wa chuya. Magufuli tano tena
 
Unaushabiki wa kijinga Sana wewe, ukisikia kinyume chake utaja Kufa bule Kwa presha!

Tunaposema CHADEMA inakwennda kupoteza kila kitu uwe unaelewa
 
Mkuu umeipaste na huku!
Upinzani unabeba majimbo ya mikoa yote, chamsingi ni kuhakikisha tunathibiti wizi na udanganyifu wa aina yoyote!

Tusiruhusu watu wapenyeze zile kura za wizi au kuchakachua matokeo, Tathminini inaonyesha kama si kuengua wagombea katika majimbo mengine upinzani ulikua umekifuta kabisa chama cha mbogamboga!
Hahaha mnapigwa kotekote, labda twita ndo mnawafuasi
 
Back
Top Bottom