Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
πππππ Hivi hizi akili huwa mnazitoa wapi jamani?
πππππ Hivi hizi akili huwa
Nina shaka kidogo safari hii kwenye mkoa huu. Inaonyesha kama CCM wameshajiimarisha kwenye mkoa huu kwa namna ya ajabu; na kwa kutumia instincts zangu, ninatabiri kuwa Waziri wa Fedha ajaye, atatoka kwenye jimbo mojawapo la mkoa huu; believe me!Kilimanjaro
Majimbo mengi
Hahaha mnapigwa kotekote, labda twita ndo mnawafuasiUpinzani unabeba majimbo ya mikoa yote, chamsingi ni kuhakikisha tunathibiti wizi na udanganyifu wa aina yoyote!
Tusiruhusu watu wapenyeze zile kura za wizi au kuchakachua matokeo, Tathminini inaonyesha kama si kuengua wagombea katika majimbo mengine upinzani ulikua umekifuta kabisa chama cha mbogamboga!