Mkuu watz wote wanajua kuwa wachaga hawajui kupika.Wachaga ni wapishi wazuri mno ndio maana mahotel makubwa wapishi wakuu ni wachaga,hata matamasha ta nyama choma wamiliki ni.wachaga
Kilimanjaro mapishi ndio kwenyewe ndizi ,nyama,mtori
Labda watz wa KATEREROMkuu watz wote wanajua kuwa wachaga hawajui kupika.
Aisee kumbe, utafiti wako unasemaje kuhusu faida zinazopatikana kwa kupika vizuri na hasara za kutopika vizuri?
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda watz wa KATERERO
Nimekwambia fanya research mahotel makubwa wapishi Ni kina Nani alafu Rudi hapa
Kilimanjaro tuna aina zaidi ya 20 ya vyakula, mtori ni asili ya uchagani lakin nchi nzima ukienda utaukuta,nambie chakula Cha kihaya ambacho kimejitangaza nchi nzima Kama ilivyo mtori kwa wachaga
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.
B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
Mkuu utafiti wako wa mikoa inayojua kupika hyo list umeandika in descending order.
Ilitakiwa iwe hvii;
1)Tanga
2)Pwani
3)Morogoro
4)Dar es salaam
5)Lindi
6)Mtwara
7)Dodoma
8)Singida umeionea kuiweka ktk wasiojua kupika.
9)Mwanza
10)Kigoma
TABORA MKUU HAWAJUI KUPIKA KABBISA YAN WALI KM WANAVUNDIKA BHANA.
ETI CHAPATI WANACHANGANYA NA UNGA WA MUOGO.
NA MIHOGO WANAIVIRINGITA KTK NGANO NDIO WANAIKARANGA INAKUA MIGUMU KM NN SIJUI.
NIMEKAA SANA IPULI NA NDEVELWA HAWAJUI KUPIKA.
Labda watz wa KATERERO
Nimekwambia fanya research mahotel makubwa wapishi Ni kina Nani alafu Rudi hapa
Kilimanjaro tuna aina zaidi ya 20 ya vyakula, mtori ni asili ya uchagani lakin nchi nzima ukienda utaukuta,nambie chakula Cha kihaya ambacho kimejitangaza nchi nzima Kama ilivyo mtori kwa wachaga
Umepatia kaka bigup.Acha kutetea ndugu zako, tangu lini mchagga akajuwa kupika zaidi ya mtori na mbuzi mzima anabanikwa Hari yakuwa hajachinjwa! "Nyamafu"!
Niritegemea vitu viwili ungewasifia ndugu zako ila co upande wa mahunjumati[emoji3]
1 pombe za kienyeji/mbege
2 ujambazi
Ha ha haa dah mtihani kwakweliUmepatia kaka bigup.
Yan nilikua na mke wa baba angu mdogo mchaga akipika wali km kauchemshaa mbayaa yeye anajua kupika ndizi tu na mitori yao na kuchoma nyama tu
Umepatia kaka bigup.
Yan nilikua na mke wa baba angu mdogo mchaga akipika wali km kauchemshaa mbayaa yeye anajua kupika ndizi tu na mitori yao na kuchoma nyama tu
Wakuu.
Nimetembelea mikoa mbalimbali katika harakati za kusaka maisha lakini kama mnavofahamu mikoa mingi kuna tamaduni tofauti za mapishi
Kuna mikoa chakula unaweza kula ukaona ladha ya chakula japo ni kwa mama ntilie lakini chakula kitamu na mikoa mingine imejaa laana bin balaa yaani ukila chakula utahisi hadi kuugua homa ya manjano.
A: Mikoa Wanayojitahidi Kupika vizuri
1. Tanga
2. Pwani
3.Lindi
4. Mtwara
5.Dodoma
6. Morogoro
7. Mwanza
8. Kigoma maeneo ya Ujiji
9. Dar Es Salaam.
10. Tabora.
Ifuatayo ni Mikoa yenye laana bin balaa sijui hua wanaloweka au maana chakula asilimia kubwa hakina ladha kabisa.
B:Mikoa hiyo ni Kama Ifuatavo
1. Mara
2.Arusha
3.Manyara
4.Singida
5.Ruvuma
6. Rukwa
7. Katavi
8. Iringa
9. Mbeya
10.Njombe
11.Geita
12. Simiyu
13.Kagera/Bukoba
14. Kilimanjaro.
Huo ni utafiti mdogo kabisa sijui wanatatizo gani
Ah asa hatukumuoa sisi mkuu alomuoa ni ankal yetu basi tukamwacha na mkewe.Na mlikua mnamvumilia
1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingineAcha kutetea ndugu zako, tangu lini mchagga akajuwa kupika zaidi ya mtori na mbuzi mzima anabanikwa Hari yakuwa hajachinjwa! "Nyamafu"!
Niritegemea vitu viwili ungewasifia ndugu zako ila co upande wa mahunjumati[emoji3]
1 pombe za kienyeji/mbege
2 ujambazi
Swala la ujambazi wachaga wengi majambaz bhanaa hilo halipingiki.1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingine
2:ujambazi ni ujambazi gani wa kusoma kwa bidii au maendeleo yaliyotukuka?
3:mbege,Hakuna pombe ya asili tz yenye hadhi ya mbege hata Mimi nikija ulaya nakujaga na mbege tunainywa na wazungu hapa,mbege Ni pombe inayotengenezwa kwa usafi wa Hali ya juu(si unajua wachaga walivyo wasafi?) Na materials yake Ni ulezi,maji,na ndizi mbivu tu
Luambo acha ku2ingiza mujini bwana😀 wachagga hawafui dafu ata kwa wasukuma.1:Ushamba mwingine bhana kwahyo hujui ndafu wa kubanikwa kwa mkaa? Ama kweli tz tuna washamba wengi sikulaumu manake kwenu chakula ni ugali tu huwez jua vingine