Mikoa wasio jua kupika Bwana nadhani muwaige wana uhusiano saaana na .....
Manguvu Balaa hata wakitembea tu! utawajua ni shito kulia! mashine haswa...
akili mingi,
Mali nyingi inayo kaa sehemu maarufu km Boma,
mifugo mingi,
wazalishaji numberly moja wa chakula chote nchini kma wale wa kipunguni wanalisha DSM yote mayai, na nyingine kuuzwa nje wanailisha Bongo kwa fedha za kigeni, na huko ndo kuna madini pia, na mbuga nyingi za wanyama.
Maguvu, ya kazi kazi.
Wanatoa viongozi wengi Bora karibu wote,
waliweza mfukuza Mkoloni kirahisi,
walikwenda kwa wingi kumtoa nduli idd amini,
watoto wao ndo wanajaza shule zote za sirikali. na private, kuna uhusiano wa kula visivyo kaangwa na Elimu bora!
The Big four iko kwa mikoa hiyo isiyojua kupika vizuri, wanalisha chakula cha kutosha Mikoa yote inayo pika vizuri,
wanaunganisha nchi yote hkn ubaguzi.
wakakamavu, hawajalegea km mikoa inayopika vizuri.
wana sura za kazi hata Mkoloni alijua hilo.
hawakuchuliwa sana utumwani waliogopeka mfano Mara Muarabu hakutia pua!!
Wana mchango mkubwa ktk ukombozi wa Bara la africa.na Dunia kifupi wameheshimisha Tanzania,
wanaopikiwa vizuri wooote waliogopa, wavivu hata kwa gem, waliishia kula nyaa ajili ya misheded mifupi fupi!
Ndo hao hao wasiopika vizuri walililia Muungano wa Tanganyika na zanzi Yaani umoja. lkn wapika vizuri hawapendi mpaka leo!!
kuna mengi ila naondoka sasa hivi kupanda ndege pyuuuu!! usiseme kuhus covid haituhusu!!