Aaah we acha masihara mkuu msoma mjini ni ngumu mno labda Tarime Kuna ahuweni
Inategemea na biashara unayofanyaAaah we acha masihara mkuu msoma mjini ni ngumu mno labda Tarime Kuna ahuweni
Chato sababu kuna hifadhi hivyo watalii watanunua tuMsaada nahitaji kuanza biashara ya nguo, viatu pochi na mikoba, ni mikoa na miji ipi yenye mzunguko mzuri wa pesa na inafaa kwa biashara ukiondoa daresalaam?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Mbeya, MorogoroTabora, mbeya
Msaada nahitaji kuanza biashara ya nguo, viatu pochi na mikoba, ni mikoa na miji ipi yenye mzunguko mzuri wa pesa na inafaa kwa biashara ukiondoa daresalaam?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Njoo mwanza , utanishukuruHakuna mahali sahihi zaidi ukishaanzisha biashara itaendelea kama ukiwa na usimamizi mzuri, Kuhusu mzunguko wa pesa hii inategemea na mtaji wako, huwezi kusema unataka ufanye mauzo ya laki 5/6 /7 hadi 1milioni wakati mtaji wako upo chini ya milioni kumi huo ni UWONGO.
Mtaji wako ukiwa mnono mauzo nayo yatakua hivyo hivyo.
Location- Biashara yoyote inahitaji Centa mahali panapofikika kirahisi.
Njoo mwanza , utanishukuru
Kila mkoa una aina za biashara zake. Kwa mfano Ruvuma dili na pembejeo za kilimo, vifaa vya ujenzi, Pharmacy zinatoa pia.Kwa ushauri wangu fanyia tu Dar....nimezunguka mikoa mingi ya TZ karibu yote ni migumu kibiashara
Huu ndio ukweli angalau kidogo mwanza wanajitahidi ila hii dar ni kubwa ni kutafuta ka eneo unajiposition basi unaanza kulipa hela ya ulinziKwa ushauri wangu fanyia tu Dar....nimezunguka mikoa mingi ya TZ karibu yote ni migumu kibiashara