tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi?
Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mimi wenu Dr tajiri tumbo kubwa
Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mimi wenu Dr tajiri tumbo kubwa