Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024

Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024;

1. Ruvuma ulitumia tani 100,000,
2. Njombe tani 75,358,
3. Mbeya tani 75,252,
4. Songwe tani 71,230
5. Iringa tani 44,214.


 
Hakika Mama Samia anachapa kazi kweli kweli
 
Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024;

1. Ruvuma ulitumia tani 100,000,
2. Njombe tani 75,358,
3. Mbeya tani 75,252,
4. Songwe tani 71,230
5. Iringa tani 44,214.

Kilimo ni Nyanda za Juu Kusini huko kwingine fanyeni shughuli zingine.

Cha ajabu badala ya serikali iwekeze Nguvu kubwa kulingana na kinachozalishwa Kila Kanda yenyewe inaenda na mambo kijumla ujumla mwisho wa siku hupati Tija stahiki.

Rukwa haipo ila ni namba 2 Kwa uzalishaji wa nafaka Tanzania nyuma ya Ruvuma,watu wa kule wangewezdshwa Kwa Kilimo Cha Kisasa na pembejeo ziwe affordable wangekuwa namba 1 Kwa mahindi Tanzania.
 
Iringa Mbeya Ruvuma na Rukwa enzi za awamu ya kwanza na ya pili waliitwa The big four Kwa kuongoza kwa uzalishaji wa nafaka .
JK alitaka na Morogoro iongezwe kwenye list sijui hata plan iliishia wapi.
Hao jamaa wakicheleweshewa mbolea inakuwa sawa na kupishana na gari ya mshahara
 
Lile taahira li Lucas Mwashambwa halijapita huku? Litabubujikwa machozi mpaka yaishe!
 
Back
Top Bottom