Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Ye ndo analima?Hakika Mama Samia anachapa kazi kweli kweli
Ndio,alishasema huwa analima mpunga morogoro huko.Ye ndo analima?
Kilimo ni Nyanda za Juu Kusini huko kwingine fanyeni shughuli zingine.Mikoa iliyoongoza kwa matumizi ya mbolea katika msimu 2023/2024;
1. Ruvuma ulitumia tani 100,000,
2. Njombe tani 75,358,
3. Mbeya tani 75,252,
4. Songwe tani 71,230
5. Iringa tani 44,214.
Jikite kwenye hoja Wacha wivu wa kisengeremaHiyoo samia app ina mbolea ipi.....!!!