NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
ahaaa usiogope yakhe ni jina tu kakaUnawatafuna wakina Nani? Tujibu kwanza
Kigoma kunavipaji sana sijui tunafeli wapi kuviendeleza?
sehemu ya jamuhuri ya muunganoZanzibar ni mkoa au nchi?
sawa aami nisamehe yakheYakhe tuombe radhi sie Zanzibar kutuita mkoa,sisi ni nchi,ushanfahamu!!
Ni kweli ila haizidi mikoa tajwa hapo juuMbeya ndiyo inaongoza kwa vipaji vya football. Pitia orodha za wachezaji wote wa timu zote zinazoshiriki Premier league ya Tanzania. Lazima utakuta mnyakyusa, kama siyo mmoja basi wawili au zaidi.
Eti mikoa inatoa vipaji lakini miaka dahari haina timu Premier League. Wamekwama wapi