Mikoa inayoongoza kutoa vipaji vya soka Tanzania

Mikoa inayoongoza kutoa vipaji vya soka Tanzania

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
13,284
Reaction score
24,047
Mikoa mitano inayoongoza kutoa vipaji vya soka kwa hapa Tanzania:

1) Kigoma
2) Mwanza
3) Tanga
4) Morogoro
5) Zanzibar
6) Mingine inuafatia

Hata kama kuna project ya kusaka vipaji mikoa tajwa hapo juu inastahili kupewa kipaumbele.

Mkoa wa Kigoma unasifa za ziada kama:
1) Wanadumu kwa muda mrefu kwenye viwango vyao vya soka
2) Wavumilivu, endapo klabu itapata changamoto ya fedha ama tatizo lolote kwenye klabu.

Nawasilisha.
 
Mbeya ndiyo inaongoza kwa vipaji vya football. Pitia orodha za wachezaji wote wa timu zote zinazoshiriki Premier league ya Tanzania. Lazima utakuta mnyakyusa, kama siyo mmoja basi wawili au zaidi.
 
Eti mikoa inatoa vipaji lakini miaka dahari haina timu Premier League. Wamekwama wapi
 
Mbeya ndiyo inaongoza kwa vipaji vya football. Pitia orodha za wachezaji wote wa timu zote zinazoshiriki Premier league ya Tanzania. Lazima utakuta mnyakyusa, kama siyo mmoja basi wawili au zaidi.
Ni kweli ila haizidi mikoa tajwa hapo juu
mikoa tajwa tangia miaka ya themanini mpaka miaka hii ya elfu mbili imedumu kutoa wachezaji bora na wanaodumu kwa muda mrefu kwenye viwango vyao
 
mkuu kuwa na timu inayoshiriki premier ni jambo lingine kabisa.
mpira wetu hautegemia unawachezaji wazuri kiasi gani ili timu yako ishiriki ligi kuu, bali inategemea umejipanga vipi kwenye kamati za fitna,kamati za zengwe n,k
Eti mikoa inatoa vipaji lakini miaka dahari haina timu Premier League. Wamekwama wapi
 
Back
Top Bottom