Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Bangi ni zao ambalo limepigwa marufuku hapa nchini kulimwa japo baadhi ya nchi zao hili ni "tukufu". Bangi ndio zao linalolipa zaidi dunia kutokana na kua na soko la uhakika na bei yake sio fluctuate kama mazao mengine. Hii hapa Mikoa inayolima Bangi hapa nchini kwa matumizi ya ndani na nje. 🤙Arusha&Morogoro Jah bless all Ganja Farmers Mods Mods uzi upo clean acheni kufuta futa.