Mikoa inayoongoza kwa kuwa na pikipiki nyingi

Mikoa inayoongoza kwa kuwa na pikipiki nyingi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Ruvuma
5. Manyara
 
Pikipiki aina gani, za mchina na wahindi au za wakoloni na Japan?
 
Una data au unakadiria kwa kuzihesabu kwa macho!
 
KISIWA CHA UNGUJA NA PEMBA ZINAONGOZA KUWA NA PIKI PIKI AINA YA VESPER, WATUMIAJI WA VYOMBO HIVI WAPO KWA WINGI.


#ROCKERFELLER
 
Mbona dar siioni namba 1, au ni macho yangu tu?
 
Bila kuiona Mbeya na Tunduma kwenye first 3, hiyo taarifa ni fake.
Mbeya hadi unaona kinyaa
 
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Tanga
4. Ruvuma
5. Manyara
HAPO UNAONA RAHAA.BAADA YA KUISHAURI JF KUHUSU KWA NINI USHURU WA MAGARI NA TAKATAKA ZA KODI ZISIZO NA SABABU BANDARINI ZIONDOLEWE ILI TUPATE MAGARI KUNGUZA WAJAWAZITO WANAOJIFUNGUA KWA KUKOSA KUFIKA MAGARI.NA KUSAFIRISHA MAITI KWA PIKIPIKI
 
Back
Top Bottom