Mkuu unataka maendeleo ya taifa yajadiliwe kwenye jukwaa hili kweli?adhani jukwaa specila la mambo hayo lipo.
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
Hebu nipeni losti wadau ila nadhani Dar inaongoza. Kila sehemu niendako nakutana na lundo la machangudoa.
arusha na kilimanjaro
jibu simple: NI YOTE MIWILI!Wanaofanya umalaya ni watu wenyewe, iweje tuisingizie mikoa? Nikiwa malaya sana Mbeya kisha nikahamia Rukwa na kuuendeleza umalaya wangu utasema ni mkoa gani malaya hapo?