Kuhusu Kagera Kuna tatizo ambalo nadhani linaikumba mikoa mwingine pia,mosi wenyeji kubweteka kwa kuchagua kazi za kufanya,,pili tokana na Hilo la kwanza baadhi ya wenyeji kubaguana wao kwa wao kwa kuona fulani akipata hiki au kile atatamba sana dhidi ya kundi fulani,ivyo anatiliwa kauzibe ana lose,hapo ni kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemo fitina,uchawi nk,mwisho wa siku hata kama mtu wa nje alitaka kuwekeza ,anaamua kuamia mkoa mwingine ivyo fursa inapotea hivi hivi,kamnobere nk,nk,,tokana na hayo unakuta wageni wanaofight kwa mbinde,ndo wanatoboa angalau,.