implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Kuhusu Kagera Kuna tatizo ambalo nadhani linaikumba mikoa mwingine pia,mosi wenyeji kubweteka kwa kuchagua kazi za kufanya,,pili tokana na Hilo la kwanza baadhi ya wenyeji kubaguana wao kwa wao kwa kuona fulani akipata hiki au kile atatamba sana dhidi ya kundi fulani,ivyo anatiliwa kauzibe ana lose,hapo ni kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemo fitina,uchawi nk,mwisho wa siku hata kama mtu wa nje alitaka kuwekeza ,anaamua kuamia mkoa mwingine ivyo fursa inapotea hivi hivi,kamnobere nk,nk,,tokana na hayo unakuta wageni wanaofight kwa mbinde,ndo wanatoboa angalau,.Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba
Naam,ukitatua tatizo fulani katika jamii,ni fursa tosha.Hautoboi ukifanya biashara gani?
Taja mkoa na biashara gani hautatoboa. Mfano ukienda Makete kuuza mafriji ni wazi utasumbuka kutoboa. Lakini ukienda kuanzisha kampuni ya kutengeneza shower heads na kuziwekea heater unaweza ukawa na soko constant
Kagera wanatabia ya kubaguana sana na kufanyiana figisu kwenye biasharaKuhusu Kagera Kuna tatizo ambalo nadhani linaikumba mikoa mwingine pia,mosi wenyeji kubweteka kwa kuchagua kazi za kufanya,,pili tokana na Hilo la kwanza baadhi ya wenyeji kubaguana wao kwa wao kwa kuona fulani akipata hiki au kile atatamba sana dhidi ya kundi fulani,ivyo anatiliwa kauzibe ana lose,hapo ni kwa kutumia mbinu mbalimbali zikiwemo fitina,uchawi nk,mwisho wa siku hata kama mtu wa nje alitaka kuwekeza ,anaamua kuamia mkoa mwingine ivyo fursa inapotea hivi hivi,kamnobere nk,nk,,tokana na hayo unakuta wageni wanaofight kwa mbinde,ndo wanatoboa angalau,.
Spea za baiskeli zinalipa sna! Sema inahitaji uvumilivu, tena ukileta mountain bikes ni biashara ya uhakikaKwenye umaskini Totoro ndipo kwenye fursa kubwa. Kuna wahindi fulani wanaita Kampuni yao Shinyanga imporium walianzia maisha Shinyanga, zamani huko, kufikia miaka ya 2000 walikuwa Dsm wakisafirisha spare za baiskeli toka nje na kuuza Tanzania nzima.
Nashangaa sana huyu mleta mada! Yaani uende mahali ukalaze mlingoti wako ukisubiri kutoboa? Thubutuuu!Usipotoboa ukiwa Kagera utakuwa mwehu
Fursa za uvuvi
Kilimo cha kahawa
Ufugaji
Tumepakana na nchi za Uganda, Burundi, Rwanda
Kilimo cha miwa, ndizi, maharage n.k
Usafirishaji
Madini ya bati, nikel, ardhi yetu Kagera ina rutuba