KERO Mikoa mingi Tanzania, leo hakuna umeme siku nzima! Tatizo ni nini?

KERO Mikoa mingi Tanzania, leo hakuna umeme siku nzima! Tatizo ni nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Mikoa mingi nchini Tanzania leo imekumbwa na tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda wote wa siku, jambo lililosababisha usumbufu kwa wananchi na shughuli za kimaisha.

Wengi wanajiuliza ni nini chanzo cha hali hili?

Kuna mgao wa Umeme😳😳🥺🥺?
 
Tulieni muisome Namba, viongozi WA Tanesco wako kwenye mkutano mkuu WA CCM na hawajui chochote kinachoendelea kuhusu utoaji WA huduma ya umeme.

Tulieni mpaka mkutano uishe mtarudishiwa umeme.
 
Punguza ulalamishi, jua bado linawaka, ingekuwa giza ningekuelewa
 
Watendaji ni machawa Wameenda Dodoma.

Kama dodoma Upo usifikirie watakukumbuka huko.
 
Back
Top Bottom