ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ninaona kwenye youtube matukio yakitokea Arusha wananchi wanaungana wote kama ni mazishi au uokozi wote wanakuwa na awareness.
Kwa mfano panya road wangekuwaga Arusha wangeshamalizwa na wananchi wenyewe umoja kama huo ni mzuri tena unakuta jinsia zote zinashiriki na watu wa rika lote wanaungana.
Soma Pia: Land Rover Festive Arusha 2024