ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Tabia ya maneno mengi na unafiki ipo sana huko wanapaita darArusha na Kilimanjaro hakuna ubabaishaji. Kama ni nyeupe
wana kuambia ni nyeupe. Hawana tabia ya kuwa na ndimi mbili.
Ndio bado haithiri sana jamii iliyo kubwaTabia ya maneno mengi na unafiki ipo sana huko wanapaita dar