Mikoa mitano inayoongoza kwa uchumi ni ipi hapa Tanzania?

Mwasihini

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
31
Reaction score
3
Kuna jamaa zangu huwa tunasumbuana sana kuhusu ni mikoa ipi inaongoza kiuchumi hapa nchini kwetu tanzania....kama unajua naomba nifahamishe mwanajamiiforum mwenzio
 
uchumi hupi wewe unaozungumzia na jamaa zako?
 
1.DSM kwa mafisadi
2. Mwanza kwa wanaume wa kazi
3. Arusha kwa wapigania haki
4. Mbeya kwa akina Mwakipesile
5. Shinyanga kwa wazee wa madini na huku wao ni masikini wa kutupwa.
.
.
.
Ya mwishp ni Bagamoyo
 
Ukizungumzia GNI uitakuwa DSM ikifuatwa na Kilimanjaro.
 
1.Dar es Salaam - kwa sababu ya viwanda,bandari, biashara na nyumba za wageni plus bar nyingi
2.Mwanza - Uvuvi,madini, kilimo cha pamba na mpunga plus
3.Mara - Madini, watalii wanaopatikana kwenye mbuga za wanyama za Serengeti na Masai Mara
4.Ausha - Madini na utalii
5.Shunyanga - Madini na kilimo cha pamba na mpunga
Kwa maoni na takwimu zangu maana ukienda kule kwa mama Chuwa yule wa pale karibia na Magogoni kwenye ile taasisi ya takwimu za taifa unaweza ukashangaa anakuambia eti ni Ntwara
 
mkuu born again
watalii hawapatikani kwenye mbuga bali huingia nchini na kuipatia nchi fedha za kigeni.
 
dsm
arusha
mwanza
kilimanyaro
mbeya
morogoro
mara
 
singida
lindi
tabora
dodoma
shinyanga
pwani....
hali zao ni mbaya
 
mkuu born again
watalii hawapatikani kwenye mbuga bali huingia nchini na kuipatia nchi fedha za kigeni.

Kwa hiyo watalii wanaoingia mkoa wa Mara wanapatikana kwenye manyasi,kungekuwa hakuna mbuga ya serengeti wangepatikana
 
Mwanza, mara, kagera, geita, shinyanga, simiyu, ukifa njaa huku ni uzembe wako mihela nje nje
 
RUVUMA ... makaa ya mawe/ mbuga/ uranium/bandari (NYASA)
DAR ........bandari
MTWARA ...bandari/gesi
MWANZA ..... uvuvi, viwanda
KIGOOOOOOMA ......maweso,kaseja, ....
 
serengeti haisaidii mkoa wa mara kimapato,kwakuwa booking karibu zote za watalii hufanyika arusha na kilimanajaro pale nia ada tu ya getini,wageni wengi wanaotoka masai mara hufika pale tayari wakiwa wametumia kiasi kikubwa cha pesa.





Kwa hiyo watalii wanaoingia mkoa wa Mara wanapatikana kwenye manyasi,kungekuwa hakuna mbuga ya serengeti wangepatikana
 
serengeti haisaidii mkoa wa mara kimapato,kwakuwa booking karibu zote za watalii hufanyika arusha na kilimanajaro pale nia ada tu ya getini,wageni wengi wanaotoka masai mara hufika pale tayari wakiwa wametumia kiasi kikubwa cha pesa.

Sina uhakika sana kwamba sehemu booking zinakofanyikia ndiko kwenye hela, mfano leo nataka kwenda London nikafanya booking ya hotel ya Londoni nikiwa Tanzania.So unaniambia hela hiyo inabaki Tanzania ama inakwenda London?
 
RUVUMA ... makaa ya mawe/ mbuga/ uranium
DAR ........bandari
MTWARA ...bandari/gesi
MWANZA ..... uvuvi, viwanda
KIGOOOOOOMA ......maweso,kaseja, ....


Naona wewe utakuwa Muha. Kigoma kuna nini pale zaidi ya uvivu na ubishi? Kaseja mwenyewe si kipa bali ni mwana mazingaombwe tu, ana mpira gani Kaseja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…