Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
serengeti haisaidii mkoa wa mara kimapato,kwakuwa booking karibu zote za watalii hufanyika arusha na kilimanajaro pale nia ada tu ya getini,wageni wengi wanaotoka masai mara hufika pale tayari wakiwa wametumia kiasi kikubwa cha pesa.
IRINGA-Mbao kutoka Sao hill,chai kutoka Mufindi na Njombe,karatasi kutoka Mgololo,
Pia Waziri wa hela" MLIMWA" kutoka Njombe !!!
wengi wataona unatania ila gesi na mafuta yakitumika vizuri,lindi itakuwa pale inapotakiwa kuwa,,,ila mkuu huko watu si wavivu sana
Huu ushabiki sasa! Iringa kwetu, ila kuwepo kwenye tano bora za ukubwa wa uchumi kimkoa, HAPANA SIJAONA TUACHE KUDANGANYANA KUNAKOPELEKEA WATU KUBWETEKA.
Naona wewe utakuwa Muha. Kigoma kuna nini pale zaidi ya uvivu na ubishi? Kaseja mwenyewe si kipa bali ni mwana mazingaombwe tu, ana mpira gani Kaseja?