Mikoa mizuri ya kwenda kutoa stress Tanzania ukitokea Dar Es Salaam

Maeneo gani yanafaa kati ya haya kupumzisha akili na kuondoa misongo?

1.TUKUYU
2.MAKAMBAKO
3.LUSHOTO

Kwa mliofika kwenye hayo maeneo,ni eneo lipi la kupumzisha akili angalau Kwa wiki moja,napenda sana maeneo yenye Ubaridi ndiyo maana nimependekeza hayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…