bassarere
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 294
- 554
Tukuyu Iko poa sana hata view yake ilivyo mimi binafsi naipenda sanaMaeneo gani yanafaa kati ya haya kupumzisha akili na kuondoa misongo?
1.TUKUYU
2.MAKAMBAKO
3.LUSHOTO
Kwa mliofika kwenye hayo maeneo,ni eneo lipi la kupumzisha akili angalau Kwa wiki moja,napenda sana maeneo yenye Ubaridi ndiyo maana nimependekeza hayo!