Mikoa ya Arusha, Mbeya, Mwanza, Mara, Iringa na Kigoma Ndio yenye wanaume majasiri

Aaaaaahaaaah!!!! ndo maana...!!!!
Kanda ya ziwa ndiko mizizi ya CCM ilipo.....

Uongozi CCM
- Mwenyekiti wa chama.
- Katibu mkuu bara.
- Katibu muenezi.
-
 
Ongezea na mkoa wa Geita halafu ingia hapo wilaya ya Chato!
 
Ujasiri Wa kufanya nini

Kuwa specific
 
Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
tunaomba data please!!! utafiti nk.
 
Wakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
Uko sahihi nikikumbuka siku niliyo kutana na majini mwaka 2005 halafu sikuinua mguu kukimbia kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…