Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafta takwimuIringa? Wameacha kujinyonga?
Unaweza kubezwa kwa vile hakuna takwimu ila ni ukweli mtupuWakuu Salaam kwenu.
Mikoa tajwa Hapo juu Ndio hutokea wanaume majasiri kwa asilimia kubwa lakini mikoa iliyobaki ujasiri Upo lakini kwa kiwango kidogo . sijui kwa nini?
We wawapi mkuu.!?Uko sahihi nikikumbuka siku niliyo kutana na majini mwaka 2005 halafu sikuinua mguu kukimbia kabisa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ongezea na mkoa wa Geita halafu ingia hapo wilaya ya Chato!
Oyeee!!!..Mara oyeeeee
Mbeya mkuuWe wawapi mkuu.!?
Mkuu wanazid ndugu zetu wabishi kweli?Katika kazi za kutumia nguvu kwenye utafutaji wa maisha.
Hiyo haipo kwenye rekodi zanguSingida na Manyara
Ndio jaribu na weweUmefanyia tafiti ukisemacho?
Watabisha lakini Huo Ndio ukweli wenyeweUko sahihi nikikumbuka siku niliyo kutana na majini mwaka 2005 halafu sikuinua mguu kukimbia kabisa!!!
OyeeeeeeereMara oyeeeee
Ongelea maada iliyo mezani usituhamishe kwenye mjadalaIringa? Wameacha kujinyonga?
HaswaaaaaUkwel mtupu njoo upate sheri
Afadhali umemjibuTafta takwimu