BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Licha ya Mikoa ya Kusini kutajwa kuwa miongoni mwa maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa Chakula Tanzania, mikoa hiyo bado ina Utapiamlo ambao umekuwa ukiathiri ukuaji wa Watoto kwa (46.2%).
Takwimu za NBS zinaonesha 30% ya Watoto wenye chini ya miaka 5 Nchini wana Udumavu. Mkoa wa Dar es Salaam una kiwango kidogo (18.4%) cha Udumavu kwa Tanzania Bara, Upande wa Visiwani Mkoa wa Mjini Magharibi una (12.8%).
Kipi unazingatia kati ya kuhakikisha Mtoto Ameshiba au Amekula Lishe Bora?