Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

Parrot_2024

Member
Joined
Dec 16, 2017
Posts
63
Reaction score
28
Habari zenu,

Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha.

Namaanisha mikoa yenye good return in investment.

Asanteni
 
Jibu lipo hapa.

IMG-20231012-WA0004.jpg
 
Dar na Arusha, Arusha kunavolunteers wengi wa kigeni kila mwaka.
Cheki na ofisi za uamiaji Arusha wakupe some statistics.
 
Back
Top Bottom