Tumeshuhudia kikwete(wengne wanatanguliza dr)baada ya kuanza kampeni kituo kilichofata mwanza,leo tena naona yupo mwanza kulikoni?dr slaa nae tumeona baada ya dsm mojawapo ya vituo vilivyofata ni kanda ya ziwa,hawa wagombea hawajaenda kusini kulikon?ina maana lipumba aliyekaa mwezi mikoa ya kusini alikuwa anapoteza muda?mwenye data ya mgawanyiko wa wapiga kura wa nchi hii atuhabarishe tujue kama mgombea urais akiweza kuteka kanda moja kama anaweza kuwa rais VOTE 4 CHANGE